MWENYEKITI WA MTANDAO WA WANAFUNZI ABDUL NONDO ANYIMWA DHAMANAMwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi Abdul Nondo ambaye inasemekana kuwa alijiteka na baadae kupatikana mkoani Iringa amenyimwa dhamana na mahakama kwa madai kuwa usalama wake haupo hivyo wanamshikilia kwa sababu za usalama wake

jeshi la polisi lilisema baada ya kufanya uchunguzi wao waligundua hakutekwa, amenyimwa dhamana na hakimu kwa sababu watekani bado wako mitaani hivyo wanamshikilia ili kuepusha asitekwe tena.

Abdul Nondo mpaka sasahivi hajapewa nafasi ya kuongea na vyombo vya habari ili kujua nini kilimkuta.

Abdul Nondo anadhitakiwa kwa makosa mawili ikiwemo kutoa taatifa za uongo katika mitandao ya kijamii na kesi ya kujiteka.

 RECOMMENDED FOR YOU:

Join Our New Telegram Group For Jobs, Education, Scholarships and All Updates,  CLICK HERE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad