Ads Area

BREAKING NEWS; R.I.P ROSE......



Mhadhiri wa Chuo cha Biashara katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rose Mdenye ameuawa kwa madai ya kuchomwa kisu na mumewe usiku wa kuamkia leo Mei 26 kwa kile kinachodaiwa kuwa kwa wivu wa mapenzi.

Akizungumza Ofisa Uhusiano wa Chuo kikuu cha Dodoma,Mh. Beatriece Mtenga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Mtenga amesema msiba upo Kisasa Sheli na taarifa zaidi zitatolewa baadae
Chanzo cha habari ni Muungwana blog

 RECOMMENDED FOR YOU:

Join Our New Telegram Group For Jobs, Education, Scholarships and All Updates,  CLICK HERE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad