CALL FOR ALL FORM FOUR TO JOIN COLLEGE STUDIES FROM NCBCT. (NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA NCBCT)


Je Matokeo Ya Mtihani Wako Wa Kidato Cha Nne Hayakuwa Mazuri ⁉️⁉️ πŸŽ“πŸŽ“

Ulijitahidi sana katika masomo lakini hukufaulu mtihani wako wa kidato cha nne,

***Jinsi ya kujiunga na Diploma ya NACTE hata kama hukushinda mtihani wa kidato cha nne, tafadhali jaza fomu hapo chini na tutawasiliana nawe ***  πŸ˜ 😍

Umefanya kila uwezalo  ili upate fursa ya kuingia chuo ili kupata elimu zaidi katika nyanja mbali mbali kwa madhumuni ya kuboresha maisha yako ya baadaye,

Lakini ukajikuta katika sintofahamu ambayo kwayo ni kama milango yote imefungwa.

Ukakata tamaa na kujiona kuwa umepoteza muda bure kutoka kidato cha kwanza hadi cha nne.

Hivyo sasa unajikuta katika wakati mgumu kwa vile hukufaulu vizuri mtihani wako wa kidato cha nne, hii inaweza ikawa sababu mojawapo ambayo imechangia katika  mazingira yako kuwa magumu.

Kutokana na hali ya kutoweza kupata njia ya kujiendeleza na masomo ya Chuo, nina imani  utakuwa umefadhaika na kusikitika na pengine kukataa tamaa ya kuboresha maisha yako.

Usikate tamaa kwani nina habari njema kwako. 😍

Pamoja na kwamba  hukuweza kufaulu mitihani yako ya kidato cha nne, bado una nafasi ya kujiunga na chuo ambacho kitakutayarisha kutimiza ndoto zako katika nyanja mbali mbali za elimu.

Nitakuonesha nini unapaswa kufanya ili uweze kuwa na sifa za kujiunga na Diploma inayotambuliwa na NACTE yaani (NTA 5 na 6). Tafadhali kwa mawasiliano zaidi bofya hapo chiniπŸŽ“⭐http://ncbct.ac.tz

 RECOMMENDED FOR YOU:

Join Our New Telegram Group For Jobs, Education, Scholarships and All Updates,  CLICK HERE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad