SPORTS AND GAME: AIBU KWA SIMBA KUFUNGWA MBELE YA RAISI MAGUFULI...!The lost of Simba history; This comes after Kagera sugar to score 1 goal against simba that scored 0.

Katika hali ya kushangaza, simba wamepoteza historia ya kutokufungwa leo baada ya kufungwa gori moja kwa sufuri dhidi ya Kagera sugar mbele ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na viongozi wengine wa selikali akiwemo Waziri wa sanaa na utamaduni Mh. Mwakiyembe.

Katika hatua nyingine, simba wamekosa gori la penati, ambapo Juma Kaseja Alidaka mkwaju wa penati kutoka kwa Emanuel Okwi.

Historia inaonyesha kuwa Juma kaseja siyo kwa mara ya kwanza kudaka mikwaju ya penati kwani aliwahi kufanya hivyo kipindi anaichezea Simba.

 RECOMMENDED FOR YOU:

Join Our New Telegram Group For Jobs, Education, Scholarships and All Updates,  CLICK HERE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad