Introduction of The Jobs
Read More in Swahili.
Kampuni ya Star Media (T) Ltd inawatangazia nafasi ya kazi watu wote wenye vigezo vya Kusimamia Akaunti ya Youtube.
Kazi.
1. Kutengeneza na kupandisha video katika mtandao wa Youtube.
2. Kuandika ripoti za kiuchambuzi
3. Kuzalisha maudhui mbalimbali yatakayovutia watu kutazama.
4. Kufanya utafiti wa maudhui yanayopendwa na watu kutazama.
4. Kufanya uhariri wa video.
5. Kuongeza Subscribers.
Vigezo.
1. Umri 18+
2. Uzoefu: Miaka 1 - 3
4. Awe mwenye uwezo wa kuhariri video kwa kutumia programme kama Adobe Premiere n.k
5. Awe na ujuzi wa camera.
6. Elimu: Kuanzia Diploma.
Tuma CV yako kwenda email: tangjy@startimes.com.cn
@startimestz
#Startimeson
RECOMMENDED FOR YOU:
- CHECK SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES TO STUDY ABROAD - CLICK HERE
- HIGH EDUCATION LOAN FOR UNDERGRADUATE AND POST GRADUATE. CLICK HERE
- MAJINA WALIOCHAGULIWA AJIRA ZA SENSA 2022 - Selected Applicants For Census [ DFF ]. Click Here
- 1000+ DAILY GOVERNMENT AND NGOs JOBS VACANCY AVAILABLE TODAY .
- TAARIFA YA HABARI MASAA 24, SUBSCRIBE HAPA YOUTUBE CHANNEL YA Kamatia Online.