Ads Area

R.I.P DR. REGINALD ABRAHAM MENGI.


All Updates Of Emplyment, Scholarship, Traveling, Tourism And Many other Click the Link of your Choices........

CLICK HERE FOR ALL..... 

R.I.P Dkt Rerginald mengu
Alilipenda Taifa la Tanzania

Mlezi wa Timu  ya taifa ya vijana serengeti Boys na Dkt Regnal mengii##

#TANZIA Tunasikitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP , DR. REGINALD ABRAHAM MENGI, kilichotokea Dubai, U.A.E, usiku wa kuamkia leo.

All Updates Of Emplyment, Scholarship, Traveling, Tourism And Many other Click the Link of your Choices........

CLICK HERE FOR ALL..... 

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP ya Tanzania, Reginald Mengi amefariki dunia kulingana na kituo cha habari cha ITV.
Reginald Mengi ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa nchini Tanzania, na ukanda wa Afrika Mashariki, ambaye aliwekeza katika sekta ya viwanda, na habari.
Habari ambazo zimethibitishwa na kituo cha habari cha ITV, kilipozungumza na VOA asubuhi ya leo, inaelezwa Mengi amefariki dunia usiku wa leo, licha ya kutotoa taarifa zaidi.
Chini ya umiliki wake kupitia makampuni ya IPP, Mengi alianzisha kampuni ya vyombo vya habari ya IPP Media, ambayo ina miliki vituo vya habari vya ITV, East Africa TV, Capital TV, Radio One, East Africa Radio, na Capital FM. Vilevile chini ya IPP Media, Mengi alikuwa akimiliki kampuni ya uchapishaji magazeti ya The Guardian Limited, yenye kuchapisha magazeti ya Nipashe, Alasiri, na the Guardian.
Hivi karibuni Reginald Mengi alitangaza kufanya uwekezaji katika kiwanda cha kuunganisha magari pamoja na simu za mikononi.
Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha ITV, Reginald Mengi amefariki dunia Dubai, falme za kiarabu.

All Updates Of Emplyment, Scholarship, Traveling, Tourism And Many other Click the Link of your Choices........

CLICK HERE FOR ALL..... 

 RECOMMENDED FOR YOU:

Join Our New Telegram Group For Jobs, Education, Scholarships and All Updates,  CLICK HERE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad