DIAMOND KUMBE NI PASUA KICHWA.


SOMA HII HPA.

Baada ya Naibu waziri wa habari na utamaduni kujibu suala la kufungia baadhi ya nyimbo diamond katika mtandao wa twitter ameamua kumjibu naibu huyo, akidai kuwa hajafuat utaratibu kwani hawajaadikiwa barua ili kufahamishwa juu ya kufungia nyimbo zao.lakini pia amesema kuwa naibu huyo majibu anayo jibu siyo ya uridhisha.

''SASA HIVI NDIYO AMEJUA SUALA LA KUANDIKA BARUA''alisema DIAMOND na kuongeza kuwa kama naibu waziri angetaka wasanii hao waandike barua basi ata yeye kabla ya kufungia nyimbo zao ange waandikia barua.

kauli hii imekuja muda mchache baada ya nyimbo za Diamond na wasanii wengine kama vile Gigmoney na Roma kufungiwa.

 RECOMMENDED FOR YOU:

Join Our New Telegram Group For Jobs, Education, Scholarships and All Updates,  CLICK HERE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad