Ads Area

MO SIMBA AWARDS 2019


Introduction 


Samba sports club is a football team which found in Tanzania. 

Mohammed Dewji is one of the supporter of the team. 

Read more in Swahili bellow 


MOSIMBA AWARDS ni tuzo ambazo zilianzishwa na Mwekezaji katika klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji kwa lengo la kutoa zawadi kwa wanafamilia wa Simba ambao wamesaidia klabu kupata mafanikio kwa msimu wa 2018/2019.
Tuzo hizi zitakuwa na vipengele 12 ambavyo vitahusisha wachezaji na mashabiki.
Kama shabiki wa Simba unaombwa kupiga kura hapa chini kuchagua Mchezaji Bora wa Mwaka, Goli Bora la Mwaka, Golikipa Bora wa Mwaka, Beki Bora wa Mwaka, Kiungo Bora wa Mwaka, Mshambuliaji Bora wa Mwaka, Mchezaji Bora Mdogo wa Mwaka na Shabiki Bora wa Mwaka.

 RECOMMENDED FOR YOU:

Join Our New Telegram Group For Jobs, Education, Scholarships and All Updates,  CLICK HERE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad